Posted on: April 1st, 2019
Wanafunzi Same sekondari wafanya mahafali ya kumaliza kidato cha sita kama skauti.
Wapongezwa kwa kushiriki matukio mengi ya serikali na jamii kwa kujitolea na kwa ubunifu mkubwa.Wanafunzi wengine ...
Posted on: March 14th, 2019
Wanawake Same waamua kutumia fursa za utalii.Watangaza utalii wa Mkomazi kama mbuga inayotegemea kukua kwa kasi.
Mpango mkakati wa Utalii wa Wilaya umekuwa dira kwa wadau kushiriki.Ni wa miaka mita...
Posted on: February 27th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Senyamule ameungana na maamuzi ya kikao cha baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Same cha tarehe 26/27 mwezi Februari 2019 kilichopitisha bajeti ya shilingi ...