Leseni ya biashara ni andiko au KIbali katika maandishi kinachokuwezesha wewe mwananchi kufanya biashara yako kwa kutambulika kisheria na kufata taratibu zote za ulipaji kodi.Hii itakuwezesha kuwa huru na endapo utakuwa shida yoyote wasiliana na Benard
PoS ni Vifaa Vinavyotumika Kukusanyia Mapato Ya Halmshauri Ambazo zinaweza Kutumiwa Na Watendaji Kata au Wazabuni Ambao Wanatumiwa na Halmashauri Husika Kukusanyia Mapato.Kirefu Cha PoS ni Point Of Sales Machine
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.