Posted on: September 6th, 2019
Katika kufurahia ongezeko la takwimu za mabweni na madarasa katika chuo cha ufundi St.Joseph kinachomilikiwa na kanisa la RC jimbo la Same.
DC Same alieleza furaha yake ya kupata marafiki wazuri...
Posted on: August 31st, 2019
Kamati ya usalama Wilaya ya Same imejiridhisha na uwepo wa madini Wilayani humo baada ya kutembelea baadhi ya maeneo ya machimbo na kujionea madini yaliyoletwa sokoni.
Afisa anayehusika na kupim...
Posted on: August 26th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Senyamule katika ziara zake vijijini alikutana na kero kuwa watumishi wote wa kata hiyo hawakai katika eneo la kazi na hivyo wananchi kukosa msaada wanapohitaji hud...