Mkurugenzi Mtendaji Wa Wilaya Ya Same Bi Anna-Claire Shija Leo siku ya jumatano,tarehe 10/1/2018, amekutana na Wakuu wa Idara na Vitengo Wilaya ya Same Kwaajili katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri Kwaajili ya KUpitia Bajeti ya Halmashauri Ya Mwaka 2018/2109,ambayo ni Web Base Planrep.Kikao icho kilianza saa 3.00asubuh na kuisha saa 12:00jioni.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.