Posted on: December 9th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Bi.Upendo Wella leo ameongoza mamia ya Wananchi wa Same kufanya usafi na kuotesha miti kwenye chanzo cha Maji cha Water kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru ...
Posted on: December 1st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni ameishukuru Kampuni ya Mtabe Group kwa kufadhili huduma ya uchunguzi kwa wananchi wa Kata ya Hedaru Wilayani Same na amewataka wananchi kutumia fursa hi...
Posted on: December 1st, 2024
Wananchi wa Wilaya ya Same wametakiwa kujitokeza kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya na ushauri nasaha kwaajili ya kupima afya zao na kupata ushauri juu ya kujiepusha na ugonjwa hatari wa UKIMWI.
...