Posted on: August 8th, 2025
Afisa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Wilayani Same Bw. Ninzari Idd ameshauri Wakulima kufuata kanuni Bora za Kilimo ili kuwawezesha kupata mavuno mengi na hivyo kuwa na Kilimo chenye tija.
Bw.Idd ametoa us...
Posted on: July 28th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Same Bw.Jimson Mhagama ameushukuru Ubalozi wa Japan hapa nchini kwa kutoa Milioni 281.3 kufadhili Ujenzi wa Zahanati ya Malindi iliyopo Kata ya Siku Wilayani hapa...
Posted on: July 23rd, 2025
Afisa Lishe Wilaya ya Same Bi.Jackline Kilenga amesema idadi ya wanafunzi wanaopatiwa chakula cha mchana shuleni imeongezeka na kufikia asilimia 98.
Aliyasema hayo katika kikao cha tathmini ya utek...