Posted on: June 21st, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na watumishi wote wanatoa pongezi kwa Mhe.Edward Jonas Mpogolo kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
Karibu sana...
Posted on: June 18th, 2021
Wilaya ya Same inakabiliwa na tatizo la uvamizi wa wanyamapori hatari na waharibifu hususani tembo na kiboko.Wanyamapori hawa wanavamia makazi ya wananchi na kuhatarisha usalama wa wananchi na mali za...
Posted on: June 10th, 2021
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Yusho Mapande wamekabidhiwa makombe sita ya ushindi wa UMISETA kimkoa ambapo mchezo wa m...