Posted on: July 30th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Kasilda Mgeni ,amewapongeza wadau wa elimu kutoka shule mbalimbali zinazomilikiwa na serikali,watu binafsi na mashirika ya dini zilizofanya kwenye matokeo ya mitihani ya Tai...
Posted on: July 25th, 2024
Katibu Tawala Wilaya ya Same Bi.Upendo Wella leo ameongoza watumishi wa Serikali pamoja na wananchi wilayani Same kwenye zoezi la kufanya usafi katika kituo kikuu cha mabasi Wilaya ya Same...
Posted on: July 26th, 2024
Wananchi Wilaya ya Same wametakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi ambavyo vinasaidia kuboresha afya zao.
Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) ya Same Bi.Upend...