Posted on: September 4th, 2024
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro imetoa vyeti vya pongezi kwa Taasisi ambazo zimefanya vizuri kwenye ukusanyaji wa Mapato Wilayani humo kwa kipindi cha Aprili hadi Juni 2024.
Taas...
Posted on: September 4th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Same imetoa elimu ya Afya ya Kinywa na Meno katika shule za msingi nne ili kuwawezesha wanafunzi kujua namna ya kutunza kinywa ili kuepuka maradhi ya meno.
Hayo yamebainish...
Posted on: September 2nd, 2024
Kina baba Wilayani Same wametakiwa kutimiza wajibu wao wa kuhudumia familia kwa mahitaji mbalimbali ikiwemo elimu, chakula na malazi ili kupunguza malalamiko yanayowasilishwa Ofisi ya Ustawi wa Jamii....