Posted on: January 2nd, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawaalika wakandarasi kuomba zabuni ya ujenzi wa jengo la dharura la Hospitali ya Wilaya ya Same na jengo la watumishi katika Hospitali ya wilaya ...
Posted on: December 24th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Annastazia Tutuba anawatakia watumishi wote na wana Same kwa ujumla heri ya X-Mass na Mwaka Mpya 2022 washerehekee kwa amani na Upendo huku waki...
Posted on: December 23rd, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Same imetoa mkopo usio na riba wenye thamani ya shilingi milioni 100,000,000/= kwa vikundi vipatavyo 26 kwa kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/2022.Kati ya vikund...