Posted on: June 19th, 2019
Halmashauri ya Same imetoa mkopo wenye thamani ya shilingi milioni 62,000,000/= kwa vikundi 18 kwa kipindi cha robo ya nne Aprili-Juni 2019 ambapo vikundi vya wanawake ni 9 waliopata jumla ya shilingi...
Posted on: June 17th, 2019
Rais wetu Mhe.Dr John Pombe Joseph Magufuli anapambana kutufikisha katika uchumi wa kati ifikapo 2025.
"Watanzania wengi wanajiuliza Rais huyu akitoka nani ataendeleza juhudi hizi ili zisipotee!!!J...
Posted on: June 18th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Anna Elisha Mnghwira amezindua kituo cha kuuzia madini cha mkoa wa Kilimanjaro kilichopo Halmashauri ya wilaya ya Same ambapo ni agizo la Mhe.Rais Dkt John Pombe Magufu...