Posted on: July 10th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anna-Claire Shija akagua ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa,vyoo matundu sita na bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Erikiponi kijiji...
Posted on: June 27th, 2018
Ilikuwa ni siku ya furaha na mshangao kwa wawakilishi wa wananchi wakati wa kumkabidhi mkandarasi barabara ya Msanga/Chome.Wananchi wakiri Rais Magufuli ni kiboko.Hawakuwahi kutengenezewa kwa kiwango ...
Posted on: June 22nd, 2018
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika Same yafana ambapo yamefanyika ndani ya kata ya Njoro katika kijiji cha Njoro katika shule ya sekondari Njoro huku mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Wilaya ya S...