Posted on: April 30th, 2024
Wilaya ya Same imekamilisha zoezi la chanjo dhidi ya kansa ya mlango wa kizazi kwa kwa mafanikio makubwa kwa kufikia asilimia 122 ya malengo tarajiwa.
Chanjo hiyo iliyokuwa inaendeshwa kitaifa kwa ...
Posted on: April 28th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni amelaani vikali mauaji ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Sinangoa "A" Kata ya Ndungu Bw.Charles Mnguruto (58) ambaye aliuwawa na watu wasiojulikana kwa kuc...
Posted on: April 26th, 2024
Wananchi wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wameungana na watanzania wengine katika kusherehekea Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika ambao ulisababisha kuzaliwa kwa Jamhuri...