• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DED SAME AAGIZA WAFUGAJI KUTII AGIZO LA KUWEKA MIFUGO HERENI

Posted on: October 27th, 2022

Wafugaji  Wilayani Same wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatekeleza agizo la Wizara ya Mifugo na Uvuvi la  uwekaji  hereni za utambulisho na usajili wa kielekroniki  kwa  mifugo  kabla ya tarehe 31 Oktoba 2022 .

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same,Anastazia Tutuba amesema baada ya tarehe 31 Oktoba 2022  hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wafugaji ambao mifugo yao haijawekwa hereni za kieletroniki  ikiwa ni pamoja na kutozwa faini au kifungo.

Alisema adhabu nyingine Ni pamoja na mifugo isiyokuwa na hereni kutoruhusiwa kuuzwa minadani,machinjioni pia kuzuiliwa kibali cha kusafirishwa.

"Zoezi la uwekaji hereni za kielekroniki kwa mifugo linasaidia kutambulika kwa mifugo na maeneo mifugo hiyo inakotoka,kupatauhakika wa soko la mifugo na mazao yake ndani na nje ya nchi"Alisema Tutuba.

Amezitaja faida nyingine kuwa Ni kuwezesha Serikali na Wadau kuweka mipango madhubuti ya kuboresha huduma za mifugo, Kudhibiti wizi wa mifugo,kusaidia kukabiliana na magonjwa ya mlipuko ya mifugo.

Akizungumzia Maendeleo ya zoezi hilo Wilayani Same,Afisa Mifugo Dk.Cainan Luponelo amesema muitikio ni mzuri na zoezi linaendelea katika Kata zote zenye mifugo.

"Ni siku kumi zimepita tangu tuamze zoezi hili kwenye Wilaya yetu lakini tayari mifugo 2,905 imeshasajiliwa kwa kuvalishwa hereni za kielektronik"alisema Dk.Cainan

Aliitaja mifugo iliyovalishwa hereni hizo kuwa ni Ng'ombe 1,243,Mbuzi 1,025,Kondoo 582 na Punda 55 ambapo alisema zoezi hilo linaendelea.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.