• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

TANGAZO LA KAZI ZA MUDA WATENDAJI WA UCHAGUZI MKUU

Posted on: September 21st, 2020

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la SAME MAGHARIBI NA MASHARIKI, kwa kuzingatia Kanuni ya 14 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge  za mwaka wa 2020 na kanuni ya 12  ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Uchaguzi wa Madiwani za mwaka 2020. Anakaribisha Maombi  kwa Watanzania wenye Sifa na uwezo wa kujaza nafasi  za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28.Oktoba, 2020 kama ifuatavyo:-

1. MSIMAMIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA (Nafasi 444)

2.WASIMAMIZI WASAIDIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA (Nafasi 888)

3. KARANI MWONGOZA WAPIGA KURA (Nafasi 444)

SIFA ZA MWOMBAJI KWA NAFASI YA MSIMAMIZI WA KITUO/WASIMAMIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA:-

I. Awe Raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi.

II. Asiwe shabiki au Kiongozi wa Chama Cha Siasa.

III. Awe mwadilifu elimu ya Kidato cha 4 au zaidi na anayeweza kusoma na kuandika vizuri. Pia anayeweza kuyaelewa maelekezo ya wasimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura.

IV. Ikiwezekana awe Mkazi wa Kata ambayo anaomba.

1. SIFA ZA MWOMBAJI KWA NAFASI YA KARANI MWONGOZA WAPIGA KURA.

I. Awe Raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi.

II. Awe Mkazi wa Kata ambayo atafanyakazi ya Kuongoza WAPIGA KURA.

   Asiwe shabiki au Kiongozi wa Chama Cha Siasa.

III. Ikiwezekana awe Mpiga Kura wa Kituo anachofanya Kazi.

IV.  Awe mwadilifu na mwenye Akili Timamu.

V. Awe na Elimu isiyopungua Kidato cha 4 na  anayeweza kusoma na kuandika na kuyaelewa maelekezo ya Wasimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura.

IV. Asiwe shabiki au Kiongozi wa Chama Cha Siasa.

**MALIPO**

i.Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-

Msimamizi wa Kituo siku ya Uchaguzi atalipwa posho ya Tzs. 35,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs 15,000 kwa siku moja na nauli Tzs 20,000;

ii. Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs 15,000 na nauli Tzs 20,000; na

iii.Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Tzs 30,000 kwa siku moja na posho ya chakula Tzs 15,000.

**MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI  ZOTE**

i. Waombaji waambatishe maelezo binafsi (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili.

ii. Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma, nakala za Vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Tangazo hili.

iii. Waombaji waambatishe picha mbili Passport size za hivi karibuni.

iv. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao.

iv.Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria.

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Septemba , 2020.


Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni:-

Msimamizi wa Uchaguzi,

Jimbo  la Same Magharibi na Mashariki

S.L.P. 138

SAME.

      

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.