Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Same wanawatakia heri wanafunzi wote wa darasa la saba katika mitihani yao ya kuhitimu darasa la saba inayofanyika tarehe 7/10/2020 hadi tarehe 8/10/2020 Mwenyezi Mungu awaongoze wafaulu wote kwa kishindo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.