• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA SAME YATEKELEZA MIRADI YA BIL.14

Posted on: August 30th, 2024

Halmashauri ya Wilaya ya Same imetumia Shilingi Bilioni 14 kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo kati ya fedha hizo bil 2.4 zilikuja nje ya ukomo wa bajeti..

Hayo yamebainishwa kwenye taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama kwenye Baraza la Madiwani la mwaka unaoishia Juni 30, 2024.

Katika taarifa yake iliyowasilishwa na Afisa Mipango Msaidizi Bw. Elisha Kapama ilibainisha kuwa fedha hizo zilitumika kujenga na kukarabati  Miradi ya Elimu, Afya , Ujenzi wa ofisi za Kata na Vijiji na Miradi ya umwagiliaji.

Baadhi ya Miradi ya Elimu Sekondari iliyotekelezwa ni Ujenzi wa Shule mpya mbili za Sekondari za Malindi na Misufini Goma na mwingine ni Miradi ya Ujenzi wa nyumba tatu za walimu (2 in 1) kwenye shule za Sekondari Misufini Goma,Angella Kairuki na Malindi,miradi mingine ni umaliziaji wa mabweni kwenye shule nane za sekondari  na unaliziaji wa bwalo.

"Kwa upande wa Afya Miradi iliyotekelezwa ni ujenzi wa vituo vya Afyakwenye Kata za  Mtii, Ruvu na Myamba, umaliziaji na ukarabati wa zahanati nne za Masandare,Mwembe ,Duma na Kankokoro, ujenzi wa nyumba ya mtumishi zahanati ya Myamba na ununuzi wa vifaa tiba kwenye zahanati tano za Kirongwe,kalung'oyo,Kidunda, Kankokoro  na Mgando pamoja na vituo vya Afya vitano vya Myamba, Mtii, Hedaru,Ruvu na Kisiwani' alisema

Kwa upande wa elimu Msingi Miradi iliyotekelezwa ni Ujenzi wa madarasa mapya zaidi ya 40 ,matundu ya vyoo 114 na ununuzi wa madawati 1,295 na ujenzi wa nyumba nne za walimu pamoja na ukarabati wa nyumba mbili za walimu.

Akizungumza kwenye kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mheshimiwa Yusto Mapande ameshauri Halmashauri kuhakikisha kuwa Miradi viporo inapewa kipaumbele cha umaliziaji wakati Serikali inapoanza mwaka mpya wa fedha 2024/2025.




Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • WANANCHI WAONYWA KUTOJIUNGANISHIA MAJI KWA NJIA ZISIZO RASMI

    June 18, 2025
  • DC KASILDA ATAKA WANANCHU KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI WAKATI WA ZIARA YA MWENGE WA UHURU

    June 10, 2025
  • WASHIRIKI UMISSETA WATAKIWA KUWAKILISHA VEMA WILAYA YA SAME

    June 09, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.