Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Same wanawatakia heri wanafunzi wote wa kidato cha pili na kidato cha nne katika mitihani yao ya kuhitimu inayoanza tarehe 9/11/2020 Mwenyezi Mungu awaongoze wafaulu wote kwa kishindo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.