• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WAZIRI MKUU AZINDUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA.

Posted on: July 22nd, 2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa amezindua zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura Julai 20,2024 mkoani Kigoma ambapo amewataka wananchi wote wenye sifa za kushiriki uchaguzi wajitokeze kuboresha taarifa zao ili wawe na haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika chaguzi zinazotarajiwa kufanyika hapa nchini.

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura umeanza rasmi Julai 20,2024 kwenye  mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora ambapo zoezi hilo litafanyika kwa siku saba kabla ya kuendelea kwenye mikoa mingine.

Akizungumzia maandalizi ya zoezi hilo kwenye Wilaya ya Same,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya WIlaya Bw. Jimson Mhagama alisema ili kufanikisha zoezi hilo Wilaya imeshaandaa vituo 263 ambavyo vitatumika kwaajili ya zoezi la uboreshaji wa taarifa za wapiga kura kama sehemu ya maandalizi  ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.

“Vituo hivi vipo kwenye Kata zetu 34 ambazo zina vijiji 100,ni maeneo ambayo yanafikika kwa kila mwananchi,hivyo niwahimize wananchi kuhakikisha kuwa wanafika kwenye vituo zoezi litakapoanza ili kuboresha taarifa zao” alisema Mhagama

Alisema kuwa kupiga kura ni haki ya msingi kabisa ya kidemokrasia  kwa kila raia mwenye sifa ya kupiga kura hivyo ni vyema wananchi wakajitokeza kuhakikisha kuwa wanahakiki taarifa zao ili wawe na sifa ya kupiga kura.

Aidha amehimiza wananchi wenye sifa wajitokeze kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi za Mtaa na Vijiji  ili kuendelea kuimarisha demokrasia hapa nchini.

 Nafasi zinazotarajiwa kugombewa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni pamoja na nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji ,wenyeviti wa vitongoji na wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji  na kwa upande wa Mitaa watakakaochaguliwa ni mwenyekiti wa Mtaa na wajumbe wa Mtaa.

Wananchi wenye umri kuanzia miaka 18 wanatakiwa kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la kudumu la Wapiga Kura wakati wa zoezi hilo ambapo wananchi wenye umri kuanzia miaka 21 na kuendelea wanaweza kugombea  nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi huo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.