• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WAKUU WA SHULE SAME WAPIGWA MSASA WA MTAALA ULIOBORESHWA

Posted on: January 13th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Same,Mkoani Kilimanjaro,  imewajengea uwezo kuhusu Mtaala wa Elimu ulioboreshwa Wakuu wa shule na walimu wa taaluma 165 kutoka shule 46 za Serikali na 19 za binafsi ili kuwawezesha walimu hao kutekeleza Mtaala huo kwa ufanisi.

Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Mwalimu Neema Lemunge, amesema baada ya  mtaala wa elimu kuboreshwa  Wilaya imeona kuna umuhimu wa kuwajengea uwezo wakuu wa shule na walimu ili waweze kuelewa na kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

“Mbali na kuwajengea uwezo kuhusu mtaala mpya, tumefanya tathmini ya matokeo ya kidato cha pili, tumejipima, tukaona tulipo hivyo tumekubaliana na kuwekeana  mikakati ya kuboresha utendaji na kuondoa matokeo duni kama division zero na division four,” alisema Mwalimu Neema Lemunge.

Afisa Elimu huyo aliishukuru serikali ya awamu ya sita kwa juhudi zake za kuboresha sekta ya elimu. Alisema Serikali imejizatiti katika kujenga miundombinu ya shule ili kuhakikisha watoto wanapata elimu bora.

Awali akufungua kikao hicho Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Dkt.Cainan Kiswaga aliwataka walimu kutumia muda vizuri wawapo shuleni.

"Lengo letu ni kuongeza ufaulu hivyo lazima tuhakikishe kuwa tunatumia muda vizuri na tusipoteze kipindi hata kimoja"alisema Dkt.Cainan


Akifafanua kuhusu Mtaala ulioboreshwa, Mthibiti ubora wa Shule Wilaya ya Same Bw.Furahini Lubua  alisema kidato cha I hadi IV kutakuwa na masomo 27 ambapo haitamlazimu  mwanafunzi  kusoma masomo yote hayo kwani  kutakuwa na uchaguzi (option) kwa baadhi ya masomo.


Aliyataja masomo ya lazima kidato cha I hadi IV yanakuwa sita na sio Saba kama ilivyokuwa mwanzo,Masomo hayo ya lazima ni:


1.Hisabati  (Mathematics )

2. Kiswahili

3. Kiingereza (English Language)

4. Biashara (Business Studies)

5. Jiografia (Geography)

6. Historia ya Tanzania na Maadili


Alisema somo la Bailojia na Historia yameongezwa kuwa masomo  chaguzi (optional).  yakiungana na yale ya zamani ya Fizikia na Kemia ambayo yatachaguliwa kuanzia kidato ch kwanza


Mtaala ulioboreshwa utaanza Januari 2025.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.