• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

BARAZA LA MADIWANI SAME LAPITISHA BAJETI YA KIASI CHA TSHS 48,259,947,369.00

Posted on: February 15th, 2020

Jumla ya kiasi cha Tshs.48,259,947,369.00  zimeidhinishwa na kupitishwa na baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Same ikiwa ni makisio ya mpango na bajeti  kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021. Kati ya fedha hizo Tshs.  2,876,165,122.00 Ruzuku ya miradi ya maendeleo, Tshs.2,073,922,630.00 ruzuku ya matumizi ya Kawaida, Tshs. 41,087,648,617.00 mishahara na Tshs. 2,222,211,000.00 mapato ya ndani.


Akiwasilisha makisio na mpango wa bajeti, kwa niaba ya Mkurugenzi, Simeon V Mzee ambaye ni Afisa Mipango wa Halmashauri alisema kuwa,makisio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021 yameongezeka kutoka Tshs 36,294,106,325.00 mwaka 2019/2020 hadi Tshs 48,259,947,369.00 ikiwa ni ongezeko katika bajeti ya mishahara.Matumizi mengineyo(Ruzuku) yatagharimu Tshs 2,073,922,630.00 ambapo vipaumbele katika fedha hizi ni pamoja na shughuli za uendeshaji utawala na usimamizi,gharama za likizo,uhamisho,matibabu na maslahi mengine ya watumishi,uendeshaji wa vikao vya kisheria na stahiki za waheshimiwa madiwani,mitihani kwa shule za msingi na sekondari,gharama za kuitwa kazini kwa watumishi wa afya na ununuzi wa dawa.

Mapato ya ndani bajeti ni Tshs 2,222,211,000.00 imezingatia maeneo makuu mawili ambapo ni kuchangia miradi ya maendeleo Tshs 593,444,652.00 sawa na 40% ya makusanyo halisi na matumizi ya kawaida Tshs 890,166,978.00 sawa na 60% ya makusanyo halisi ambapo matumizi kupitia ICHF ni Tshs 119,836,142.00,matumizi kupitia NHIF ni Tshs 258,608,228.00,malipo ya papo kwa papo(user fee) ni Tshs 133,117,000.00,ada za shule za kidato cha tano na sita ni Tshs 67,200,000.00 na michango ya wadau kwenye elimu ni Tshs 159,838,0

Ndugu Simeon Mzee alivitaja vipaumbele kuwa ni pamoja na kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri,kukuza sekta ya viwanda ndani ya Halmashauri,kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Same kwa kujenga hospitali mpya ya Wilaya,kuimarisha sekta ya utalii wa ndani kupitia vivutio vilivyopo,ukamilishaji wa miradi viporo iliyopo ndani ya Halmashauri na upatikanaji wa samani(viti,meza na madawati),upandaji miti na kuitunza ili kuboresha mazingira ya Wilaya,kuwezesha vijiji kuwa na mipango ya matumizi bora ya ardhi ya vijiji na kuendelea kutatua kero zinazowakabili wananchi katika maeneo yao ili kuleta ustawi wa maisha na maendeleo yao.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.