Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti ya Halmashauri ya Same na watumishi wote kwa ujumla wanawatakia kheri na mafanikio darasa la nne katika mitihani yao Mungu awaongoze wafaulu wote kwa kishindo.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.