Posted on: June 3rd, 2021
Ofisi ya Mkuu wa Willaya ya Same kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same wanayo furaha kuwakaribisha katika hafla ya mapokezi ya mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru 2021.
...
Posted on: May 11th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Staki Senyamule akikagua mradi wa umeme hasa uimara wa nguzo katika eneo la Loresho kijiji cha Muungano kata ya Ruvu.Eneo hili ni mji mpya uliotokana na mafuriko ya...
Posted on: May 9th, 2021
Pichani ni Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Staki Senyamule akipokea vifaa vya afya(face mask,surgical gloves,clean gloves) kutoka kwa mdau wa maendeleo Ndg. Kaoneka ambaye pia ni Mkurugenzi ...