Posted on: May 1st, 2025
Kufuatia mahitaji makubwa ya miche ya zao la Parachichi Halmashauri ya Wilaya ya Same imeandika maombi Wizara ya Kilimo kuomba kusaidiwa miche 56,289 ya Parachichi zinazokomaa muda mfupi i...
Posted on: April 28th, 2025
Wilaya ya Same imepanda miti 500 kwenye Shule ya Sekondari Same kama srhemu ya kuadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasi...
Posted on: April 3rd, 2025
Wilaya ya Same imepokea Shilingi Milioni 402.7 kutoka Miradi wa SWASH kwaajili ya Utekelezaji wa Miradi ya huduma za maji na Usafi wa Mazingira Vijijini-SRWSSP ambapo fedha hizo zimenufaisha jumla ya ...