Posted on: August 7th, 2024
Wakulima wa Kahawa Wilayani Same wameshauriwa kubadilika kutoka kutumia mbegu za zamani ambazo zinachelewa kukomaa na kuanza kutumia mbegu zilizoboreshwa za Arabica Compact.
Akizungumza kwenye maon...
Posted on: August 5th, 2024
Bw.Nandi Rupia ni Afisa nyuki mstaafu kutoka Wilaya ya Same ambaye ameamua kujishughulisha na ufugaji wa nyuki kibiashara ambapo pia anatumia mazao ya nyuki katika kutibu maradhi mbalimbali ya binadam...
Posted on: August 4th, 2024
Wilaya ya Same yapeleka ng’ombe mwenye uwezo wa kutoa maziwa lita 30 kwa mkamuo mmoja kwenye maonesho ya nane nane yanayofanyika kwenye viwanja vya Themi, Njiro mkoani Arusha.
Mshauri wa Mifugo Hal...