Posted on: May 15th, 2023
Wauguzi Wilayani Same wametakiwa kutimiza majukumu yao kwa kuzingatia weledi wa kazi yao ikiwa ni pamoja na kutunza siri za Wagonjwa.
Wito huo ulitolewa na Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo Dk.Alex Alexan...
Posted on: May 8th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Same imepokea jumla ya shilingi Bil 1.8 kutoka Mradi wa kuimarisha Ufundishaji na Ujifunzaji kwa shule za Awali na Msingi (BOOST)ambazo zitatekeleza miradi mbalimbali katika s...
Posted on: May 5th, 2023
Wananchi Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wameshauriwa kuacha kilimo cha mazoea na badala yake wawe na mtazamo chanya wa kulima mazao yanayoendana na soko la sasa kama parachichi.
Kauli hiyo inakuj...