Posted on: July 2nd, 2025
Wadau wa madini Wilayani Same wametakiwa kuhakikisha kuwa wanatunza Mazingira kwenye maeneo wanayochimba madini kwa kufukia mashimo baada ya kumaliza kuchimba.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ...
Posted on: July 1st, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge Ndg.Ismail Ali Ussi ameelezwa kuridhishwa na utekelezaji wa Miradi nane ya ya Halmashauri ya Wilaya ya Same iliyofikiwa na Mwenge wa Uhuru iliyokuwa na thamani ya shilingi b...
Posted on: July 10th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Same kwa kutoa mkopo wa asilimia 10 za mapato ya ndani kwa wakati ili kuwainua wananchi kiuchumi.
Pongezi hizo z...