Posted on: March 14th, 2019
Wanawake Same waamua kutumia fursa za utalii.Watangaza utalii wa Mkomazi kama mbuga inayotegemea kukua kwa kasi.
Mpango mkakati wa Utalii wa Wilaya umekuwa dira kwa wadau kushiriki.Ni wa miaka mita...
Posted on: February 27th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Senyamule ameungana na maamuzi ya kikao cha baraza maalum la madiwani wa Halmashauri ya Same cha tarehe 26/27 mwezi Februari 2019 kilichopitisha bajeti ya shilingi ...
Posted on: January 14th, 2019
Katika kufunga mafunzo ya Jeshi la Akiba Wilayani Same,Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Same amehimiza matumizi mazuri ya mafunzo hayo kwa kujitolea kufanya kazi za jamii,kuishi kwa mfano.Awahakikishia kupewa ki...