Posted on: March 6th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Same akishirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya pamoja na wanawake Wilayani humo wamefanikiwa kutoa misaada mbalimbali yenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni mbili kwa watoto...
Posted on: March 5th, 2023
Wilaya ya Same inatarajiwa kuwa mwenyeji Kimkoa wa maadhimisho ya kilele cha siku ya wanawake Duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka.
Mkuu wa Wilaya ya Same,Mhe:Kasilda Mgeni amese...
Posted on: February 27th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Same,Mhe Kasilda Mgeni amekabidhi pikipiki sita zilizotolewa na Ofisi ya Rais Tamisemi kwa Watendaji Kata wilayani Same.
Akikabidhi pikipiki hizo Mkuu huyo wa Wilaya amewataka wat...