Posted on: February 28th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Rosemary Stacki ameungana na maamuzi ya kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Same cha tarehe 8/9 mwezi Februari kilichopitisha bajeti kwa mwaka wa fedha 2018/19.
...
Posted on: January 10th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji Wa Wilaya Ya Same Bi Anna-Claire Shija Leo siku ya jumatano,tarehe 10/1/2018, amekutana na Wakuu wa Idara na Vitengo Wilaya ya Same Kwaajili katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashaur...