Posted on: February 19th, 2026
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ametembelea na kujionea Maendeleo ya Ujenzi wa Chuo cha Ufundi VETA kinachojengwa kwenye Kata ya Makanya Wilayani Same ...
Posted on: February 17th, 2026
Katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya bila kikwazo cha kifedha, Wilaya ya Same imezindua rasmi zoezi la uandikishaji wa Bima ya Afya kwa Wote. Uzinduzi huo ulifanyika Kata ya Steshe...
Posted on: February 6th, 2026
Halmashauri ya Wilaya ya Same imeomba kuidhinishiwa Bajeti ya shilingi bilioni 60.3 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ili kufanikisha Utekelezaji wa Miradi ya maendeleo na uendeshaji wa Halmashauri.
...