• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

SAME YAKOMBA VIKOMBE UMITASHUMTA

Posted on: July 25th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw. Jimson Mhagama ametoa pongezi kwa Timu za Wilaya ya Same zilizoshiriki  mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) 2025 kwa kurejesha ushindi mnene.

Mkurugenzi alitoa pongezi hizo wakati akipokea vikombe vya ushindi toka kwa Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi Bw.Marclaud Mero akiwa pamoja Watumishi wa Idara hiyo.

Wilaya ya Same imeshika nafasi ya kwanza kimkoa kwenye mashindano hayo  na imejinyakulia Vikombe tisa vya ushindi.

Akitoa taarifa ya ushindi huo kwa Mkurugenzi, Mkuu wa Idara ya Elimu Msingi Mwl.Marclaud Mero alisema Wilaya ya Same imeshika nafasi ya kwanza kwenye mchezo wa Riadha , Goalball Wavulana na Sanaa za maonesho.

Aliitaja michezo mingine iliyoitoa Same kimasomaso kuwa ni pamoja na Basketball, Goalball Wasichana na Volleyball wasichana  na wavulana ambazo zilishika nafasi ya pili kimkoa. 

Mpira wa Miguu wasichana walishika nafasi ya tatu na Usafi Wilaya ilishika nafasi ya tatu.

Wilaya pia ilifanikiwa kutoa wanamichezo 31 ambao waliunda timu ya Mkoa na Kushiriki Mashindano hayo Ngazi ya Taifa.

Mkurugenzi ameipongeza Idara ya Elimu Msingi kwa kusimamia vema michezo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MAMLAKA YA MJI MDOGO SAME WAIANGUKIA TARURA

    August 15, 2025
  • SAME YAKOMBA VIKOMBE UMITASHUMTA

    July 25, 2025
  • WANANCHI WENYE CHANGAMOTO ZA KISHERIA WATAKIWA KUITUMIA SAMIA LEGA CAMPAIGN

    August 11, 2025
  • WAKULIMA WATAKIWA KUFUATA KANUNI BORA ZA KILIMO

    August 08, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.