Hapa madarasa yakiwa hatua ya uchimbaji msingi
Hapa ni katika hatua ya kujenga msingi
Hapa ni katika hatua ya kupanga mawe hardiko
Hapa ni katika hatua ya jamvi
Hapa ni katika hatua ya kupandisha ukuta
Hapa ni katika hatua ya kusuka lenta
Hapa ni katika hatua ya overlenta
Hapa madarasa yakiwa hatua ya kupauliwa tarehe 23/11/2021
Hapa madarasa yakiwa hatua ya kuezekwa bati tarehe 29/11/2021
Hapa madarasa yakiwa hatua ya kupakwa rangi tarehe 3/12/2021
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.