Madarasa yakiwa katika hatua ya kupanga mawa hardiko
Hatua ya kupandisha ukuta baada ya lenta
Hapa ni hatua ya kupauwa pamoja na plasta
Hapa madarasa yakiwa hatua ya kuezekwa bati ambapo kazi ya kuezeka inategemewa kumalizika leo tarehe 29/11/2021
Hapa madarasa yamekamilika tarehe 15/12/2021