• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WILAYA YA SAME YAZINDUA MNADA BARABARA KUU YA DAR ES SALAAM

Posted on: September 8th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Same,Mkoani Kilimanjaro imezindua mnada na soko la barabarani katika eneo la Kirinjiko kwa lengo la kuongeza mapato na kuwawezesha wananchi watakaofika katika Hospitali mpya ya Wilaya iliyo jirani na eneo hilo  pamoja na wasafiri kupata huduma katika mnada huo.

Mnada huo ulizinduliwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Bi.Kasilda Mgeni Mapema mwezi Septemba mwaka huu ambapo aliwahimiza wananchi wa Same kutumia vema fursa hiyo katika kujikwamua kiuchumi.

Akizungumza katika Uzinduzi huo kuu wa Wilaya ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa kuweza kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Soko ambao umekamilika kwa awamu ya kwanza .

“Ndugu zangu wafugaji wa Wilayah ii ya Same na Wilaya za jirani niseme tuu kwamba Mnada huu ni wa kwenu,Serikali imewajali kwa kuwajengea mnada huu, hivyo muutumie vizuri na kutunza miundombinu iliyopo” alisema Mkuu huyo.

Hata hivyo Mkuu wa Wilaya ya Same alisema kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022 inaonyesha Wilaya ya Same ina jumla ya Ng’ombe laki moja na tatu, Mbuzi laki moja na kumi na saba elfu kondoo sabini na tatu elfu na sita themanini na nne.

“Tumeanzisha mnada huu kama fursa ya kiuchumi kwa wafugaji na wananchi wengine wa Same lakini pia mnada huu pamoja na soko la barabarani ni huduma kwa wananchi wa Same na hata wasafiri wanaotumia barabara ya Same-Dar es Salaam” alisema Mhe.Kasilda

Hata hivyo Mkuu wa Wilaya aliwataka wafugaji kujenga tabia ya kupunguza mifugo kwa kuiuza wakati wa kiangazi ambapo malisho ni haba na kununua mingine pale kiangazi kinapokwisha ili kuepuka hasara ya mifugo kufa kwa kukosa malisho.

Akizungumza katika Uzinduzi huo Mkurugenzi wa Wilaya ya Same  Bi. Anastazia Tutuba alisema Wilaya imejitahidi kuhakikisha kwamba huduma zote muhimu zinapatikana katika eneo hilo ili kuwawezesha wafanyabiashara kutumia vema eneo hilo.

“Hapa kuna huduma ya Umeme,maji,vyoo na hata barabara za eneo hili ni za uhakika na tayari tumeshagawa maeneo zaidi ya 500 ya kujenga vibanda vya biashara na kuchomea nyama”alisema Mkurugenzi huyo.

Kwa Upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Same Mhe. Yusto Mapande alisema lengo kuu la Serikali ni kuhakikisha wananchi wake wanajikwamua kiuchumi hivyo soko hilo litasaidia kukuza uchumi wa Wananchi.

“Jambo ambalo wananchi wanalitarajia kutoka kwaviongozi wao ni kuwaonyesha njia ambayo itatatua matatizo yao ikiwa kuwaletea fursa ya ajira na fursa za kiuchumi na katika eneo hili hadi sasa kuna ajira zaidi ya  mia sita”alisema Mapande

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.