• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WENYEVITI WAKUMBUSHWA KUFANYA MIKUTANO

Posted on: January 28th, 2026

Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mdogo Same Bw. Uledi Lusasi amewakumbusha Wenyeviti wa Vitongoji kuhakikisha kuwa wanafanya mikutano ya Vitongoji ili kujadili masuala ya Maendeleo ikiwa ni pamoja n a kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.

Bw.Lusasi alitoa ushauri huo kwenye kikao cha Baraza la Mamlaka ambapo alisema vikao hivyo ambavyo vipo kisheria  ni muhimu vifanyike kwani ndivyo vinavyowaunganisha wananchi na Serikali yao.

Aidha amewataka Wenyeviti hao kusimamia Amani na utulivu katika maeneo yao na iwapo atatokea mtu wanayemtilia shaka watoe taarifa mapema kwenye Mamlaka husika ili hatua stahili ziweze kuchukuliwa.

“Nyie ni walinzi wa Amani kwenye maeneo yenu, hivyo basi kwenye Mtaa wako akiingia mgeni ambaye mnamtilia shaka hakikisheni mnatoa taarifa ili hatua stahili ziweze kuchukuliwa” alisema

          

Matangazo

  • TANGAZO LA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WILAYA YA SAME February 03, 2026
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA October 28, 2024
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA October 28, 2024
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA October 28, 2024
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • VIJANA KATA YA MAORE WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO.

    January 31, 2026
  • WENYEVITI WAKUMBUSHWA KUFANYA MIKUTANO

    January 28, 2026
  • WANANCHI HEDARU WAFURAHIA KUKAMILIKA KWA DARAJA LA MTO WASHI

    January 30, 2026
  • DC KASILDA AISHUKURU SERIKALI KWA SAME KUPATIWA GARI LA ZIMAMOTO

    December 17, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.