• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WAZIR​I ULEGA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA SAME–MKOMAZI–NDUNGU

Posted on: February 16th, 2026

Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega  ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara  ya Same–Mkomazi–Ndungu  yenye urefu wa kilomita 37 inayojengwa kwa kiwango cha lami wilayani Same, mkoani Kilimanjaro,.

Akizungumza katika ziara hiyo Waziri Ulega alimtaka mkandarasi   M/S China Communication Construction Company Ltd.    anayetekeleza mradi huo kuongeza kasi ili ukamilike kwa wakati .

Mradi huo unatekelezwa kwa lengo la kuimarisha miundombinu ya usafiri, kurahisisha mawasiliano na kuchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa maeneo hayo.

Waziri Ulega alimuelekeza msimamizi wa mradi huo kuhakikisha wananchi wanaofanya kazi katika mradi huo wanalipwa kwa wakati na kwa viwango vinavyokubalika kisheria hapa nchini.

Sambamba na hilo, Waziri Ulega amemtaka mkandarasi kutoa vyeti vya ushiriki (certificates) kwa vijana wanaoshiriki katika ujenzi wa barabara hiyo ili kuwapa fursa ya kushiriki katika miradi mingine ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Nurdin Babu, amesema kukamilika kwa mradi huo kutakuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi kwa wananchi wa maeneo husika, akibainisha kuwa wakazi wengi wa eneo hilo ni wakulima ambao watanufaika kwa kusafirisha mazao yao kwa urahisi kwenda masokoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA USAJILI WA WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WILAYA YA SAME February 03, 2026
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA October 28, 2024
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA October 28, 2024
  • ORODHA YA WALIOITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA October 28, 2024
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA SAME,ATEMBELEA UJENZI WA CHUO CHA VETA

    February 19, 2026
  • SAME YAZINDUA UANDIKISHAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE

    February 17, 2026
  • SAME YAOMBA KUIDHINISHIWA BAJETI YA TSH.BIL60.3

    February 06, 2026
  • WAZIR​I ULEGA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA SAME–MKOMAZI–NDUNGU

    February 16, 2026
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.