• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WANANCHI KULENI VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHI-DAS

Posted on: July 26th, 2024

Wananchi Wilaya ya Same wametakiwa kuzingatia ulaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi ambavyo vinasaidia kuboresha afya zao.

Wito huo umetolewa na Katibu Tawala wa Wilaya (DAS) ya Same Bi.Upendo Wella wakati akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria kikao cha elimu ya  matumizi ya vyakula vilivyoongezwa virutubishi.

Bi. Upendo alisema elimu ya lishe inayotolewa kwa wadau ina lengo la kuhakikisha kwamba Taifa linakuwa na watu wenye afya njema hususan kina mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano.

“Kikao hiki ni mahususi kwa ajili ya kupata kwa kina elimu ya lishe na matumizi ya vyakula vilivyoongezwa virutubishi kama unga wa  sembe, dona, ngano na maharage lishe” alisema

Afisa Lishe Mkoa wa Kilimanjaro Bi.Rehema Napengwa,alisema hali ya udumavu kwa watoto kwenye Mkoa wa Kilimanjaro ni asilimia 20 na hali ya udumavu kitaifa ni asilimia 30.

Alisema ili kuepuka udumavu ni vizuri kuzingatia aina ya vyakula vinavyotumiwa na mjamzito na mtoto kwa muda wa siku 1,000 tangu siku ya kwanza ya ujauzito kwani udumavu hutokea iwapo lishe ya mtoto haitazingatiwa kwa muda huo.

"Udumavu kwa watoto unatokea kwenye kipindi cha siku 1,000  tangu mimba kutungwa ambapo kipindi hicho ni kipindi ambacho mzazi anapaswa kuzingatia sana lishe” amesema Bi.Rehema

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Mheshimiwa Yusto Mapande, amesema wananchi wanapaswa kujifunza kwamba zile siku 1,000 za awali za mimba kutungwa mpaka anazaliwa mtoto ni siku muhimu za kuokoa maisha yake kiafya na kiakili hata atakapokua mtu mzima.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw. Jimson Mhagama aliwataka wafanyabiashara wa unga kuhakikisha kuwa wanaongeza virutubishi kwenye unga wanaouzalisha.

Kikao hicho kilibebwa na kaulimbiu isemayo”Lishe sio kujaza tumbo…zingatia unachokula”.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WACHIMBA MADINI SAME WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA

    May 19, 2025
  • SAME YAPANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA MKONGE

    May 05, 2025
  • SAME YAPANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA MKONGE

    May 05, 2025
  • SAME YAOMBA WIZARA YA KILIMO KUIPATAIA MICHE YA PARACHICHI

    May 01, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.