Jumla ya Wanafunzi 3,928 leo wameanza mitihani yao ya kumaliza kidato cha nne mwaka huu 2024.
Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Same Bi. Neema Lemunge amesema Wanafunzi hao wameandaliwa vizuri kitaaluma hivyo hata matokeo yanayotarajiwa kuwa mazuri.
Alisema kati ya Wanafunzi hao wanaofanya mitihani ya kidato cha nne Wavulana ni 1,677 na wasichana ni 2,251 na watahiniwa wa kujitegemea ni 106.
"Wilaya ya Same Ina Jumla ya Shule za Sekondari 65 lakini zenye kidato cha nne ambazo ndizo zinazofanya mtihani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama amewatakia kheri wanafunzi wote wanaofanya mtihani wa kidato cha nne.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.