• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

WACHIMBA MADINI SAME WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA

Posted on: May 19th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni amewataka Wadau wa madini Wilayani Same kuhakikisha kuwa wanatunza Mazingira kwenye maeneo wanayochimba madini.

Ametoa wito huo leo Mei 08,2025 kwenye kikao cha Wadau wa Madini ya Jasi (Gypsum),Pozolana na Bauxite ambayo hupatikana kwa wingi Wilayani Same ambao wamekutana kujadili changamoto mbalimbali na kuzitafutia ufumbuzi.

Amesema utunzaji wa Mazingira ikiwemo ufukiaji wa mashimo baada ya kuchimba madini ni muhimu kwani itasaidia utunzaji wa maeneo hayo.

"Pamoja na utunzaji wa Mazingira hakikisheni pia mnalipa kwa wakati maduhuli yote ya Serikali ili kukuza uchumi wa nchi"alisema Mkuu huyo wa Wilaya.

Akizungumza kwenye kikao hicho Afisa Mkazi wa Madini Mkoa wa Kilimanjaro (RMO) Mhandisi Abel Madaha amesema uchimbaji Madini umekua ukichangia kwa kiasi kikubwa kwenye pato la Taifa ambapo kwa mwaka 2024/2025 hadi kufikia mwezi April 2025 sekta ya Madini Mkoani humo imekusanya Tsh.Bil.3.2  ambayo ni asilimia 91 ya lengo la kukusanya Tsh.Bil.3.5

Alisema asilimia 31 ya mapato hayo inatokana na mapato ya Madini ya Jasi.

Nae Diwani wa Kata ya Makanya ambayo inazalisha kwa wingi Madini ya Jasi Mhe. Damar Kingalu amewaomba wazalishaji wa Jasi kurejesha kiasi cha faida kwa Jamii (CSR) ili kuboresha maisha ya wananchi katika eneo hilo.

Kikao hicho kilichowakutanisha Wadau wa madini ya Jasi zaidi ya 50 wakiwemo wawakilishi wa Viwanda vya Saruji (Moshi,Twiga na Tanga Cement) kimeandaliwa na Tume ya Madini kwa kushirikiana na Chama cha Ushirika wa wachimbaji wa Jasi Mkoa wa Kilimanjaro (Kilimanjaro Gypsum Cooperation Society).





Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • WACHIMBA MADINI SAME WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA

    May 19, 2025
  • SAME YAPANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA MKONGE

    May 05, 2025
  • SAME YAPANIA KUONGEZA UZALISHAJI WA MKONGE

    May 05, 2025
  • SAME YAOMBA WIZARA YA KILIMO KUIPATAIA MICHE YA PARACHICHI

    May 01, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.