Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Mpogolo ahamasisha zoezi la uvalishaji hereni za kielektroniki Kwa mifugo Kwa viongozi wa chama cha wafugaji kata wilayani Same.
Akizungumza katika kikao hicho Mhe.Mpogolo amewaasa viongozi hao wa chama cha wafugaji kata kwamba kila mfugo anapaswa kuvalishwa hereni za kielektroniki ili atambuliwe.
Kikao hicho pia kilihudhuriwa na wajumbe wa KUU na wataalamu wa mifugo Wilaya.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.