Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Jonas Mpogolo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na uongozi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Same na watumishi wote kwa ujumla tunakupongeza Rais wetu Mama yetu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa kufikisha siku 100 katika uongozi wake kwa awamu ya sita.Mungu akuongoze katika majukumu yako.
KAZI IENDELEE.
ded@samedc.go.tz www.samedc.go.tz
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.