Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Same Bi.Annastazia Tutuba ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya lishe ya wilaya amefungua kikao cha mpango wa afua za lishe kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo wajumbe wa kamati ya lishe wamepanga bajeti ya afua za lishe kwa mwaka 2022/2023 ikiwa ni agizo na kipaumbele cha Serikali.
Afisa Lishe wa wilaya Bi.Jackline Kileng'a akiwapitisha wajumbe katika mpango wa afua za lishe kwa mwaka uliopita ili kupata picha na muongozo wa kuandaa mpango wa afua za lishe 2022/2023.
Hapa ni wajumbe wa kamati ya lishe wilaya
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.