• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

MKUU WA WILAYA YA SAME AKUTANA NA WADAU WA MBAO

Posted on: February 7th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amekutana na wadau wa biashara ya mbao kujadili maendeleo na changamoto zinazowakabili ili ziweze kutatuliwa kwa lengo la kuboresha mazingira ya biashara na kukuza uchumi wa wilaya.

Kikao hicho kimewakutanisha pia wadau mbalimbali wilayani humo, wakiwemo , Mamlaka ya Uhifadhi wa Misitu Tanzania (TFS), pamoja na viongozi wengine wa Serikali.

Akizungumza katika kikao hicho, Mhe. Kasilda amesisitiza kuwa dhamira ya serikali ni kuhakikisha biashara ndani ya wilaya inastawi.

"Wafanyabiashara wa mbao ni wadau muhimu, na serikali inawatambua kupitia kodi wanazolipa. Ni lazima tuhakikishe tunaondoa vikwazo vinavyokwamisha biashara zenu ili ziweze kukua. Endapo mnakumbana na changamoto, ni muhimu kutoa taarifa mapema ili tuweze kuzitatua," amesema Mhe. Kasilda.

Katika kikao hicho, pia ulijadiliwa umuhimu wa uhifadhi wa misitu kwa maendeleo endelevu ya biashara ya mbao.

Baadhi ya wafanyabiashara walieleza kuwa kikao hicho kimekuwa na manufaa kwao kwani kimetoa mwanga kuhusu masuala ya kodi na vibali vya biashara. "Tunashukuru kwa fursa hii ya kujadili changamoto zetu moja kwa moja na serikali hii ni hatua bora ambayo imefanyika. Tunaamini mazungumzo haya yatawezesha biashara yetu kukua na kutuletea maendeleo," amesema  Amos Mbwambo, mmoja wa wafanyabiashara wa mbao wilayani Same.

Kwa kumalizia, Mhe. Kasilda amewataka wafanyabiashara kushirikiana na serikali kuhakikisha biashara zao zinafuata sheria na taratibu, huku akihaidi kuwa vikao vya aina hii vitaendelea kufanyika ili kuboresha mazingira ya biashara katika wilaya ya Same.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.