• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

MILIONI 210 ZATOLEWA MKOPO KWA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU

Posted on: July 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Same kwa kutoa mkopo wa asilimia 10 za mapato ya ndani kwa wakati ili kuwainua wananchi kiuchumi.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya wakati akikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 210 ambazo ni Mkopo wa robo ya nne kwa wanawake ,Vijana na watu wenye ulemavu.

"Nimpongeze Sana Mkurugenzi kwa kuhakikisha kuwa Mkopo huu unatolewa kwa wakati"alisema Mheshimiwa Kasilda

Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bw.Jimson Mhagama amewataka wanufaika wa mkopo kuhakikisha kuwa wanarejesha fedha hizo kwa wakati.

"Serikali imewaamini hivyo hamna budi kuimarisha imani yenu kwa Serikali kwa kurejesha kwa wakati"amesema Mhagama

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Same Bw.Anatoly Charles amesema jumla ya vikundi 36 vimenufaika na Mkopo huo ambapo vikundi 24 ni vya wanawake,Vijana ni vikundi 9 na watu watatu wenye ulemavu.

Amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Halmashauri ya Wilaya ya Same imetoa Mkopo wa Shilingi Milioni 585.5 kwa vikundi 113.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MAMLAKA YA MJI MDOGO SAME WAIANGUKIA TARURA

    August 15, 2025
  • SAME YAKOMBA VIKOMBE UMITASHUMTA

    July 25, 2025
  • WANANCHI WENYE CHANGAMOTO ZA KISHERIA WATAKIWA KUITUMIA SAMIA LEGA CAMPAIGN

    August 11, 2025
  • WAKULIMA WATAKIWA KUFUATA KANUNI BORA ZA KILIMO

    August 08, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.