Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Mpogolo leo tarehe 15/02/2022 amekabidhi pikipiki Kwa maafisa mifugo wawili wa kata ya Ruvu na kata ya Maore Wilayani Same ambapo pikipiki hizo zimetolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Katika makabidhiano hayo wajumbe wa KUU,uongozi wa Halmashauri na viongozi wa chama cha wafugaji wilaya na kata walishiriki.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.