Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Annastazia Tutuba akishiriki mdahalo wa maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika na miaka 59 ya Jamuhuri katika kikao cha kamati ya siasa Wilaya kilichofanyika mapema leo tarehe 22/11/2021 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same.
Katika kikao hicho mafanikio kadha wa kadha yanajadiliwa ambapo kwa kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika na miaka 59 ya Jamuhuri mafanikio katika nyanja ya uchumi,teknolojia,elimu,afya na siasa yamepatikana na kazi inaendelea.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.