Mafunzo ya ujasiriamali yatolewa kwa vikundi vya wanawake na vijana wanaotarajiwa kupata mikopo kwa ajili ya ujasiriamali ili kujikwamua kiuchumi.Mafunzo hayo yalitolewa na Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Same Bwana Victor Kabuje kwa kushirikiana na maafisa maendeleo wengine ambapo vikundi hivyo vilipata elimu ya ujasiriamali na jinsi ya kutumia mikopo hiyo pindi watakapoipata.
Vikundi hivyo vinatarajiwa kupata mikipo tar.19 June ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Anna Mnghwira.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.