Katika kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru na miaka 59 ya Jamuhuri Halmashauri ya Same imefanya maonesho ya mabanda kwa taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali ikiwemo Takukuru,TRA,TANESCO,Same Kaya Saccos,Magereza,Polisi,Empower,SAUWASA,wachenjuaji shaba na Teachers Saccos.
Nao Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Same walishiriki na kutembelea mabanda hayo wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Same.
Haya yote yanafanyika Halmashauri ya Wilaya ya Same kuelekea kilele cha maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru na Miaka 59 ya Jamuhuri.
Kazi Iendelee.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital(Kibacha Rd)
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 717657681
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.