• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DC KASILDA ATAKA WANANCHU KUTUMIA FURSA ZA KIUCHUMI WAKATI WA ZIARA YA MWENGE WA UHURU

Posted on: June 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni amewataka wananchi wa Same kujitokeza kwa wingi kuulaki Mwenge wa Uhuru na  kujipanga vema ili kuweza kutumia vema fursa za kiuchumi wakati Mwenge wa Uhuru utakapowasili Wilayani Same Juni 30 mwaka huu.

Mkuu wa Wilaya amesema Mwenge wa Uhuru unapofika katika maeneo mbalimbali hapa nchini hufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo hivyo ni vema wananchi wakatumia fursa hizo kukuza  uchumi wao.

Amesema Mwenge wa Uhuru utapokelewa Juni 30 mwaka huu kwenye Kata ya Njoro na utakimbizwa kwenye maeneo mbalimba ambapo utaweka mawe ya msingi,kuzindua miradi na kutembelea miradi mbali mbali ya maendendeleo.

Ukiwa Wilayani Same Mwenge wa Uhuru unatarajia kufikia Miradi ya Maji, Barabara, Afya na Mradi wa Vijana Wajasiriamali ambapo Miradi yote ina thamani ya Shilingi Bilioni 2.2

Mwenge wa Uhuru utakesha kwenye uwanja wa Polisi Kata ya Maore.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • DED SAME AUSHUKURU UBALOZI WA JAPAN

    July 28, 2025
  • UTEKELEZAJI WA MKATABA WA AFUA ZA LISHE WAONGEZA UHAKIKA WA CHAKULA SHULENI

    July 23, 2025
  • WATUMISHI ZAIDI YA 1,000 WAPANDISHWA MADARAJA

    June 26, 2025
  • WATUMISHI ZAIDI YA 1,000 WAPANDISHWA MADARAJA

    June 26, 2025
  • Tazama Vyote

Video

Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.